Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
 
							Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ukerewe
Contributions
nil
Answers
nil
Commettees
0
Ministries
nil
MHE. JOSEPH M. MKUNDI: Mheshimiwa Spika, vivutio vya utalii visivyotambuliwa na hivyo kutangazwa; kuna vivutio vingi sana katika visiwa vya Ukerewe ambavyo vikitambuliwa na kutangazwa vinaweza kuingizia Taifa pesa nyingi sana, miongoni mwa vivutio hivi ni:-
(a)	Jiwe linalocheza Kisiwani Ukara katika Wilaya ya Ukerewe;
(b)	Mapango ya Handebezyo;
(c)	Makazi/Majengo ya Chifu Lukumbuzya; na
(d)	Fukwe za kipekee maeneo ya Rubya na kadhalika.
Mheshimiwa Spika, hivyo Wizara ione umuhimu wa kutambua vivutio hivi, kuvijengea mazingira mazuri na kuvitangaza ili viweze kuliingizia Taifa mapato.