Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
 
							Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Kwela
Contributions
nil
Answers
nil
Commettees
0
Ministries
nil
MHE. IGNAS A. MALOCHA: Mheshimiwa Naibu Spika, naomba kuchangia Wizara hii, kama ifuatavyo:-
Mheshimiwa Naibu Spika, naomba kujua ni lini gesi ya helium  iliyogunduliwa katika Ziwa Rukwa itaanza kuchimbwa. Tunaambiwa gesi hiyo ni adimu sana duniani na ina thamani kubwa. Ni sababu zipi zinatufanya tuchelewe kuanza kuichimba?
Mheshimiwa Naibu Spika, naunga mkono hoja, ahsante.