Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Contributions
nil
Answers
nil
Commettees
0
Ministries
nil
MHE. MWANTUMU M. ZODO: Mheshimiwa Naibu Spika, ninachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema. Pia nimpongeze Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uchapakazi wake; hakika Taifa letu la Tanzania linamtegemea.
Mheshimiwa Naibu Spika, mwisho ninachukua fursa hii kumpongeza Waziri, Naibu Waziri na watendaji wote wa Wizara kwa jitihada zao za kuendelea kupambana na ukatili wa kijinsia.
Mheshimiwa Naibu Spika, niiombe Wizara pamoja na jitihada zote bado tatizo la ukatili ni kubwa sana. Wizara ikae na ije na mkakati mpya wa kuendelea kukabiliana na matendo ya kikatili.
Mheshimiwa Naibu Spika, mwisho, ninaunga mkono hoja.