Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date | 
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 15 | Sitting 29 | Works and Transport | Wizara ya Ujenzi | 380 | 2024-05-20 | 
 
									Name
Omari Mohamed Kigua
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Kilindi
Primary Question
						MHE. OMARI M. KIGUA aliuliza:-
Je, lini Serikali itajenga Barabara ya Kiberashi hadi Songe Kilindi kwa kiwango cha lami?
					
 
									Name
Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ileje
Answer
						NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu:-
Mheshimiwa Naibu Spika, Barabara ya Kiberashi – Songe (Kilindi) – Kwaluguru yenye urefu wa kilometa 127 imeingizwa kwenye Mpango wa Bajeti ya mwaka 2024/2025 kwa ajili ya kufanyiwa upembuzi yakinifu na usanifu wa kina.  Kazi hii ikikamilika, Serikali itatafuta fedha kwa ajili ya kuijenga kwa kiwango cha lami, ahsante.
					
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved