Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date | 
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 7 | Sitting 52 | Justice and Constitutional Affairs | Wizara ya Katiba na Sheria | 459 | 2022-06-27 | 
 
									Name
Saashisha Elinikyo Mafuwe
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Hai
Primary Question
						MHE. SAASHISHA E. MAFUWE aliuliza:-
Je, ni lini Serikali itajenga majengo mapya ya kisasa ya Mahakama ya Wilaya Hai kwa kuwa jengo la sasa ni chakavu?
					
 
									Name
Geophrey Mizengo Pinda
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Kavuu
Answer
						NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA alijibu:-
Mheshimiwa Spika, ahsante. Kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Saashisha Elinikyo Mafuwe, Mbunge wa Hai, kama ifuatavyo: -
Mheshimiwa Spika, Serikali ilipeleka wataalam na kubaini kuwa ni kweli Mahakama ya Hai ni chakavu na hivyo ilihitaji ukarabati. Ukarabati katika Mahakama hii ulishafanyika toka Februari, 2021. 
					
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved