Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date | 
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 17 | Sitting 1 | Livestock , Fisheries, Agriculture, Food Security and Cooperatives | Wizara ya Kilimo | 9 | 2024-10-29 | 
 
									Name
Ameir Abdalla Ameir
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
House of Representatives
Primary Question
						MHE. AMEIR ABDALLA AMEIR aliuliza: -
Je, ni tafiti ngapi za mbegu za mazao ya kilimo zimefanyika hivi karibuni na kuleta matokeo chanya ?
					
 
									Name
David Ernest Silinde
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Tunduma
Answer
						NAIBU WAZIRI WA KILIMO  alijibu:-
Mheshimiwa Spika, ahsante sana. Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, Wizara kupitia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imetekeleza miradi 93 ya tafiti mbalimbali katika kilimo, ambapo imegundua teknolojia 52 za aina bora za mbegu za mazao. Aina hizi za mbegu zimesambazwa katika mikoa yote ya Tanzania. 
					
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved