Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date | 
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 17 | Sitting 9 | Regional Administration and Local Government Authorities | Ofisi ya Rais TAMISEMI. | 137 | 2024-11-08 | 
 
									Name
Geoffrey Idelphonce Mwambe
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Masasi Mjini
Primary Question
						MHE. GEOFFREY I. MWAMBE aliuliza: -  
Je, lini Serikali itaanza utekelezaji wa Miradi ya TACTIC kwenye Halmashauri ya Mji wa Masasi?
					
 
									Name
Zainab Athuman Katimba
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Answer
						NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. ZAINAB A. KATIMBA) alijibu: -
Mheshimiwa Naibu Spika, Mradi wa TACTIC umegawanyika katika makundi matatu na  Halmashauri ya Mji wa Masasi ipo katika kundi la tatu ambalo utekelezaji wake utaanza kwa usanifu kufanyika mwezi Novemba, 2024 kwa kipindi cha miezi nane. Baada ya usanifu, zabuni ya kumpata mkandarasi itatangazwa mwezi Julai, 2025 na baada ya kumpata mkandarasi, ujenzi utaanza mwezi Oktoba, 2025.
					
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved