Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date | 
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 15 | Sitting 37 | Works and Transport | Wizara ya Ujenzi | 487 | 2024-05-30 | 
 
									Name
Esther Nicholus Matiko
Sex
Female
Party
CHADEMA
Constituent
Special Seats
Primary Question
						MHE. ESTHER N. MATIKO aliuliza: -
Je, ni lini Serikali itajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Utegi hadi Kilongwe?
					
 
									Name
Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ileje
Answer
						NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu: -
Mheshimiwa Spika, kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina kwa ajili ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa Barabara ya Utegi – Kilongwe yenye urefu wa kilometa 47.4 imekamilika.  Kwa sasa taratibu za manunuzi kwa ajili ya kumpata mkandarasi wa ujenzi kwa kiwango cha lami kwa sehemu ya barabara hiyo kuanzia Utegi – Shirati itakayokuwa na urefu wa kilometa 27 zinaendelea, ahsante. 
					
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved