Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date | 
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 18 | Sitting 4 | Livestock , Fisheries, Agriculture, Food Security and Cooperatives | Wizara ya Kilimo | 66 | 2025-01-31 | 
 
									Name
Masache Njelu Kasaka
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Lupa
Primary Question
						MHE. MASACHE N. KASAKA aliuliza:-
Je, lini Serikali itapeleka fedha kukamilisha ujenzi wa Skimu ya Umwagiliaji, Ifumbo, Chunya?
					
 
									Name
David Ernest Silinde
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Tunduma
Answer
						NAIBU WAZIRI WA KILIMO alijibu:-
Mheshimiwa Spika, ahsante sana. Katika Mpango na Bajeti ya Mwaka 2025/2026 Serikali, kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, itatenga fedha, kwa ajili ya  kufanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina, ili kujua gharama halisi za ujenzi wa Skimu ya Ifumbo. Kazi hii ikikamilika taratibu za manunuzi za kumpata mkandarasi, kwa ajili ya ujenzi wa skimu hizi zitafuata. 
					
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved