Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date | 
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2020-2025 | Session 19 | Sitting 21 | Works and Transport | Wizara ya Ujenzi | 268 | 2025-05-09 | 
 
									Name
Joseph Zacharius Kamonga
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ludewa
Primary Question
						MHE. JOSEPH Z. KAMONGA Aliuliza: -
Je, lini ujenzi wa barabara ya Mkiu – Liganga – Madaba utaanza kwa kiwango cha lami kwa kuwa uwekezaji wa Liganga upo mbioni kuanza?
					
 
									Name
Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ileje
Answer
						NAIBU WAZIRI WA UJENZI Alijibu: -
Mheshimiwa Mwenyekiti, kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa Barabara ya Mkiu – Liganga – Madaba yenye urefu wa kilometa 112 imekamilika.  Kwa sasa Serikali inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya kuijenga barabara hiyo kwa kiwango cha lami.
					
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved