Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2025-2030 | Session 3 | Sitting 43 | Works and Transport | Wizara ya Ujenzi | 517 | 2026-06-04 |
Name
Salum Khamis Salum
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Meatu
Primary Question
MHE. SALUM K. SALUM aliuliza: -
Je, ni lini Serikali itaanza utekelezaji wa Mradi wa Barabara ya Nkoma – Lalago kilometa 65?
Name
Abdallah Hamis Ulega
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Mkuranga
Answer
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI K.n.y. WAZIRI WA UJENZI alijibu: -
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi napenda kujibu swali la Mheshimiwa Salum Khamis Salum, Mbunge wa Meatu, kama ifuatavyo:-
Mheshimiwa Spika, mkataba wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa Barabara ya Nkoma – Lalago kilometa 65 umesainiwa kati ya Serikali na Kampuni ya ujenzi ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC). Serikali inaendelea na taratibu za malipo ya awali ili kuwezesha mkandarasi kuanza kazi za ujenzi.
Copyright © Bunge Polis 2026. All Rights Reserved