Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2025-2030 | Session 3 | Sitting 23 | Home Affairs | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | 261 | 2026-05-06 |
Name
Emmanuel Peter Cherehani
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Ushetu
Primary Question
MHE. AZZA H. HAMAD K.n.y. MHE. EMMANUEL P. CHEREHANI aliuliza:-
Je, lini Serikali itatoa fedha, kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi, Ushetu?
Name
Mohammed Mahmoud Ayoub
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Chaani
Answer
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu:-
Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali ina mpango wa kujenga Kituo cha Polisi, Ushetu, kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 6,456 kilichopo katika eneo la Nyamilangano. Fedha, kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho zinatarajiwa kutengwa na kutolewa kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2027/2028. Ninaomba kuwasilisha.
Copyright © Bunge Polis 2026. All Rights Reserved