Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 27 Works and Transport Wizara ya Ujenzi 347 2025-05-19

Name

Shanif Mansoor Jamal

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Kwimba

Primary Question

MHE. PAULINE P. GEKUL K.n.y. MHE. SHANIF M. JAMAL aliuliza:-

Je, lini Serikali itatoa fedha za ujenzi wa Barabara ya Magu – Ngudu – Hungumarwa kilometa 10 ambapo Mkataba ulishasainiwa?

Name

Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ileje

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu:-

Mheshimiwa Spika, ujenzi kwa kiwango cha lami wa Barabara ya Isandula - Magu kwenda Bukwimba - Ngudu hadi Hungumalwa yenye urefu wa kilometa 50 sehemu ya Isandula - Bukwimba Station kilometa 10 ulishaanza na utekelezaji wake umefikia asilimia tano. Kwa sasa, Serikali inatafuta fedha kwa ajili ya malipo ya awali ili mkandarasi aweze kuendelea na kazi. Ahsante.