Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 34 Home Affairs Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 441 2025-05-28

Name

Atupele Fredy Mwakibete

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Busokelo

Primary Question

MHE. ATUPELE F. MWAKIBETE aliuliza: -

Je, lini Serikali itapeleka gari la Polisi Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo?

Name

Innocent Lugha Bashungwa

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Karagwe

Answer

NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI K.n.y. WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu: -

Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali imeshapeleka magari mawili aina ya Toyota Landcruiser Pickup. Tayari yako katika Kituo cha Polisi Busokelo. Gari hizi zitatumika kutoa huduma za Polisi kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo.