Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2025-2030 | Session 3 | Sitting 13 | Justice and Constitutional Affairs | Wizara ya Katiba na Sheria | 155 | 2026-04-21 |
Name
Abdallah Dadi Chikota
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Nanyamba
Primary Question
MHE. ABDALLAH D. CHIKOTA aliuliza: -
Je, lini majengo mapya ya Mahakama ya Mwanzo Nanyamba yatajengwa?
Name
Zainab Athuman Katimba
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Answer
NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA alijibu: -
Mheshimiwa Spika, Mahakama ya Tanzania inaendelea kutekeleza Mpango wa Ujenzi na Ukarabati wa Majengo ya Mahakama wa mwaka 2021/2022 – 2025/2026. Kutokana na uhaba wa majengo ya Mahakama hususan majengo ya Mahakama za Mwanzo katika maeneo mbalimbali nchini, majengo haya yanajengwa na kukarabatiwa kwa awamu.
Mheshimiwa Spika, kwa sasa, tunakamilisha kutengeneza Mpango wa Ujenzi na Ukarabati wa Majengo ya Mahakama awamu ya tatu. Aidha, ujenzi wa Mahakama ya Mwanzo Nanyamba utazingatiwa katika Mpango huo.
Copyright © Bunge Polis 2026. All Rights Reserved