Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
| Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
|---|---|---|---|---|---|---|
| 2025-2030 | Session 3 | Sitting 27 | Regional Administration and Local Government Authorities | Ofisi ya Waziri Mkuu-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) | 312 | 2026-05-12 |
Name
Suleiman Mohamed Rashid
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Mwera
Primary Question
MHE. SULEIMAN MOHAMED RASHID aliuliza: -
Je, kero ngapi za Muungano zimetatuliwa mpaka sasa?
Name
Kwagilwa Reuben Nhamanilo
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Handeni Mjini
Answer
NAIBU WAZIRI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA alijibu:-
Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, ninapenda kujibu swali la Mheshimiwa Suleiman Mohamed Rashid, Mbunge wa Mwera, kama ifuatavyo: -
Mheshimiwa Mwenyekiti, katika kipindi cha kwanza cha Serikali ya Awamu ya Sita, Serikali imefanikiwa kutatua na kupatia ufumbuzi jumla ya hoja 15 kati ya hoja 18 za Muungano zilizokuwa zikijadiliwa na pande zote mbili za Muungano. Hivyo, kuondolewa kwenye orodha ya hoja za Muungano zilizokuwepo.
Mheshimiwa Mwenyekiti, ninaomba kuwasilisha.
Copyright © Bunge Polis 2026. All Rights Reserved